Ufahamu Ugonjwa Uliopelekea Kifo cha Boseman wa Black Panther, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Aliyekuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani Chadwick Boseman amefariki Dunia Agosti 28, 2020 kwa kansa ya utumbo mpana akiwa na umri wa miaka 43.Amefariki nyumbani kwake anakokaa na familia yake yote, katika eneo la Los Angeles, ambapo inadaiwa kuwa wakati anafariki pembeni yake walikuwa wamekaa watu muhimu katika maisha yake akiwemo mke wake.Chadwick alizaliwa Februari 2, 1976, ambapo alionekana mwaka 2016 kupitia filamu ya Captain America, Civil War,na baadaye mwaka 2018 kwenye filamu ya Black panther na aliendelea kuonekana katika ulimwengu huo wa Marvel, Avengers, Infinity War 2018 na Avengers Endgame.Alijulikana kwa mionekano yake halisi ya kihistoria kama Jackie Robinson katika 42 mwaka 2013, James Brown katika  Get on up ya mwaka 2014 na Thurgood Marshall ya mwaka 2017 na kwa kuoneshwa kama shujaa wa ajabu Black Panther katika Marvel Cenematic Unverse films Captain America, Civil war 2016 pia alikuwa na majukumu katika Televisheni kama Lincoln heights2008, persons unknown2010 na filamu ya express 2008.,

Aliyekuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani Chadwick Boseman amefariki Dunia Agosti 28, 2020 kwa kansa ya utumbo mpana akiwa na umri wa miaka 43.

Amefariki nyumbani kwake anakokaa na familia yake yote, katika eneo la Los Angeles, ambapo inadaiwa kuwa wakati anafariki pembeni yake walikuwa wamekaa watu muhimu katika maisha yake akiwemo mke wake.

Chadwick alizaliwa Februari 2, 1976, ambapo alionekana mwaka 2016 kupitia filamu ya Captain America, Civil War,na baadaye mwaka 2018 kwenye filamu ya Black panther na aliendelea kuonekana katika ulimwengu huo wa Marvel, Avengers, Infinity War 2018 na Avengers Endgame.

Alijulikana kwa mionekano yake halisi ya kihistoria kama Jackie Robinson katika 42 mwaka 2013, James Brown katika  Get on up ya mwaka 2014 na Thurgood Marshall ya mwaka 2017 na kwa kuoneshwa kama shujaa wa ajabu Black Panther katika Marvel Cenematic Unverse films Captain America, Civil war 2016 pia alikuwa na majukumu katika Televisheni kama Lincoln heights2008, persons unknown2010 na filamu ya express 2008.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *