Uchambuzi: Nafasi ya Mbwana Samatta ndani ya Aston Villa (+Video)

September 18, 2020

Mara baada ya Aston Villa kumsajili kinda mshambuliaji, Ollie Watkins kwa dau lililovunja rekodi ya klabu la paundi milioni 28 kumekuwa na maswali mengi kwa wadau wa soka nchini juu nafasi ya Mtanzania, Mbwana Samatta na hatma yake kunako timu hiyo inayoshiriki Premier League.Mapema wiki hii Aston Villa ilifanikiwa pia kumuongezea mkataba wa miaka mitano nyota wake Jack Grealish kitu ambacho kimeongeza mjadala kwa mashabiki wa mpira nchini, @abbas__pira  ambaye ni miongoni mwa wadau wa soka analionaje hilo na nafasi ya Mshambuliaji huyu wa Tanzania.VIDEO:,

Mara baada ya Aston Villa kumsajili kinda mshambuliaji, Ollie Watkins kwa dau lililovunja rekodi ya klabu la paundi milioni 28 kumekuwa na maswali mengi kwa wadau wa soka nchini juu nafasi ya Mtanzania, Mbwana Samatta na hatma yake kunako timu hiyo inayoshiriki Premier League.

Mapema wiki hii Aston Villa ilifanikiwa pia kumuongezea mkataba wa miaka mitano nyota wake Jack Grealish kitu ambacho kimeongeza mjadala kwa mashabiki wa mpira nchini, @abbas__pira  ambaye ni miongoni mwa wadau wa soka analionaje hilo na nafasi ya Mshambuliaji huyu wa Tanzania.

VIDEO:

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *