Uchaguzi Tanzania 2020: Mahona,Rungwe wataka raia kuhudhuria kampeni kuelewa sera za wagombea

September 7, 2020

Wakati Kampeni za wagombea wa nafasi mbali mbali za uongozi za vyama mbalimbali zikiendelea nchini Tanzania, baadhi ya wagombea wamekuwa wakitoa vipaumbele ambavyo wamesema dhana zake zimekuwa ‘zikitafsiriwa vibaya’ na wananchi.

Hashim Rungwe,mgombea urais kwa tiketi ya chama cha CHAUMMA anaeleza dhana yake ya ‘chakula’ , hali kadhalika mgombea wa NRA Leopold Mahona.

Source link

,Uchaguzi Tanzania 2020: Mahona,Rungwe wataka raia kuhudhuria kampeni kuelewa sera za wagombea Wakati Kampeni za wagombea wa nafasi mbali mbali…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *