Uchaguzi Marekani na sera za Israel

October 16, 2020

Waisraili na wapalestina wanafuatilia kwa makini uchaguzi wa marekani. Kwa wengi nchini Israil, rais aliyepo madarakani Donald Trump ni kiongozi anayesifika katika historia ya Marekani kwa kuwaunga mkono waisraeli. Lakini baadhi katika taifa hilo la kiyahudi wanahofu kwamba kwa ushindi Joe Biden, utamaanisha mabadiliko katika sera za nchi za mazmbo ya nje za Marekani, jambo ambalo wapalestina watalikaribisha.

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *