Twaha kiduku aibuka mshindi dhidi ya Dullah mbabe, noreply@blogger.com (Muungwana Blog), on August 29, 2020 at 12:01 am

August 29, 2020

Twaha Kiduku hatimae aibuka mshindi dhidi ya Dullah Mbabe katika pambano  lililopigwa usiku huu katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Baada ya raundi zote 10 kukamilika, Majaji wote watatu wamempa ushindi Twaha Kiduku kwa pwenti 93-97, 91-99 na 93-97.Hata hivyo pambano lilikuwa la kukatabna shoka kwani haikuwa rahisi kwa Twaha Kiduku kuibuka mshindi.,

Twaha Kiduku hatimae aibuka mshindi dhidi ya Dullah Mbabe katika pambano  lililopigwa usiku huu katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Baada ya raundi zote 10 kukamilika, Majaji wote watatu wamempa ushindi Twaha Kiduku kwa pwenti 93-97, 91-99 na 93-97.
Hata hivyo pambano lilikuwa la kukatabna shoka kwani haikuwa rahisi kwa Twaha Kiduku kuibuka mshindi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *