Twaha Kiduku aibuka mshindi baada ya kumtwanga Dullah Mbabe, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 29, 2020 at 10:00 am

August 29, 2020

 Twaha Kiduku fahari ya Morogoro ameshinda pambano lake dhidi ya Dullah Mbabe lililopigwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.Baada ya raundi 10 kupigwa, majaji wote watatu walimpa ushindi Twaha Kiduku wa 93-97, 91-99 na 93-97.Mashabiki wengi walifurika kushuhudia pambano hilo la aina yake baada ya kutambiana kila mmoja kuonesha mbabe zaidi ya mwenzake.,

 

Twaha Kiduku fahari ya Morogoro ameshinda pambano lake dhidi ya Dullah Mbabe lililopigwa usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Baada ya raundi 10 kupigwa, majaji wote watatu walimpa ushindi Twaha Kiduku wa 93-97, 91-99 na 93-97.

Mashabiki wengi walifurika kushuhudia pambano hilo la aina yake baada ya kutambiana kila mmoja kuonesha mbabe zaidi ya mwenzake.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *