Tushirikiane na wenzetu Wakenya kuomba ili corona Kenya iondoke kama ilivyoondoka Tanzania- JPM,

October 9, 2020

 “Corona Tanzania imeondoka, nilikuwa naongea na Kenyatta, ameamua Katika kipindi cha siku 3 kuanzia leo, kesho na Jumapili kumuomba Mungu ili corona iondoke Kenya, naomba tushirikiane na wenzetu Wakenya kuomba ili corona Kenya iondoke kama ilivyoondoka TZ”-JPM

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *