TUNZA INJINI YA GARI LAKO NA KICHOCHEO CHA NANO,

October 15, 2020

      

Tunakitambulisha kichocheo madhubuti cha Nano  kilichothibitishwa ubora wake na shirika la
viwango la kimataifa (ISO 9001:2015). Hii ni teknolojia ya kipekee na ya kimapinduzi kwenye tasnia ya magari na mitambo. kichocheo cha Nano kimetengenezwa na teknolojia ya kisasa duniani ya Nano (Nano technology) kwa ajili ya kuikarabati na kuipa ulinzi injini ya gari yako bila kuifungua. Kichocheo cha Nano huziba mikwaruzo yote ndani ya injini na kuirudisha nguvu ya injini kama ilivyokuwa mpya. Wasiliana nasi kupitia Namba 0715480174.

Kichocheo cha Nano kinaipa injini ganda au tabaka gumu la ceramic na platinum. Tabaka hili linafanya muunganiko wa kudumu na chuma cha injini (cylinder wall) na kina uwezo madhubuti wa kuhimili uchakavu na michubuko itokanayo na msuguano. Inarudisha uwezo wa kusukuma wa injini (compression ratio) kwa kuweka ganda gumu kwenye ukuta wa cylinder.

FAIDA ZA KICHOCHEO CHA NANO.

Hupunguza matumizi ya mafuta kwa 8% – 21%.

Huongeza nguvu ya injini hadi kufikia 100%.

Hupunguza mlio na makelele ya injini na mtetemo hadi Mara 5 zaidi.

Inatoa ulinzi wa injini hadi kufikia 40000 km.

Husaidia Kuboresha uhai wa injini na vifaa vingine
.
Hulinda injini na kuirudisha kwenye ubora wake kama ilivyokuwa mpya.

Huongeza msukumo wa injini na kuboresha uunguaji wa mafuta.

Hulainisha usukani na gear box.

Hupatikana kwa magari ya aina zote, generator, compressor, pikipiki, bajaji na kila aina ya mtambo.
Hupunguza utoaji wa moshi kati ya mara 3 hadi 9.

Ina garantii ya utendaji kazi kwa 100%.

Haiharibiki kwa nanma yoyote ile.

Bidhaa bora kabisa iliyothibitishwa kimataifa na kitaifa.

Inakupa faida ya kutoifungua injini hivyo kuongeza thamani ya gari hata ukitaka kuiuza.

Inakupa faida ya kupata mafuta bure kila unapoweka kwa mara ya 9.

Faida isiyolinganishwa ya ulinzi wa gari lako hadi kufikia km 40000 kwa sh 60000 tu ukilinganisha na gharama za  mafuta na services kwa kipindi hicho.

MATUMIZI

Injini inatakiwa iwe imetumika kwa km 3000.
Kichocheo cha Nano kinatumika kwa injini za aina yoyote inayotumia oili ya aina yoyote (mineral or synthetic oils).

Ili kupata matokeo bora zaidi weka unapofanya service.
Ipashe injini yako.

Tikisa kichocheo cha Nano kabla ya kuweka kwenye injini.

Fungua kifuniko cha injini oili halafu mimina kichocheo cha Nano.

Funga kifuniko. Hongera, umefanikiwa.

Baada ya kumimina kichocheo cha Nano usibadili oili ya injini mpaka kipindi cha matumizi yafuatayo (kilomita 400 kwa pikipiki na bajaji, kilomita 1200 – 1500 kwa magari madogo na kilomita 3000 kwa malori na mabasi).

MAPENDEKEZO.

Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio na kukubaliwa na taasisi zifuatazo.

Chuo kikuu cha Taifa cha Kyungpook – Korea.
Chuo Kikuu cha Taifa cha Seoul – Korea.
Taasisi ya Korea ya Mashine na Vifaa.
Chuo Kikuu cha Yeungnam – Korea.
Taasisi ya Korea ya Teknolojia ya magari.
Jeshi la ulinzi wa Taifa la Korea.
Kituo cha Jeshi la Anga la India.

UTHIBITISHO WA UBORA.

Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio maabara, kuthibitishwa, kukubalika na kutunukiwa vyeti vya ubora na taasisi zifuatazo.

Shirika la Ubora la Kimataifa ISO 9001:2015.
Shirika la viwango la Tanzania – TBS.
Mkemia mkuu wa serikali ya Tanzania – GCLA.
Maabara ya kimataifa ya SGS.
Maabara ya kimataifa ya TUV SUD Industrie Service GmbH.


USHUHUDA / MAPENDEKEZO.

Kichocheo cha Nano kimefanyiwa majaribio na makampuni ya kutengeneza magari, kimethibitishwa na kupendekezwa kutumika na makampuni yafuatayo.
MERCEDES BENZ
TOYOTA
GM DAEWOO
VOLVO
HONDA
HYUNDAI
AUDI
kichocheo cha Nano sasa kinapatikana Tanzania na kusambazwa na POWER ENERGY ENGINEERING COMPANY LTD. Tunakaribisha mawakala kutoka wilaya zote za Tanzania. Wasiliana nasi kupitia Namba 0715480174.

Kwa wafanyabiashara: usiikose fursa hii ya kibiashara.
Kwa wamiliki wa vyombo vya moto (Magari, pikipiki, bajaji nk): Tumia Kichocheo cha Nano kwa ulinzi madhubuti wa chombo chako.

WASAMBAZAJI WA NANO MIKOANI- TANZANIA

DAR ES SALAAM
UBUNGO OIL COM Jengo la oil com juu kwenye bango la Bima 0715 480 174
RealMaps Mtaa wa sikukuu/mkunguni kariakoo 0755 366 658 0713 360 040  
Dubai traders Livingston/mafia Kariakoo 0716 302 626
Luesha central Mtaa wa msimbazi/ mvita jingo la kisangani 0768 820 344
Japan auto spare parts Mwenge( karibu na Maryland bar) 0714 363 637
Bk japani auto spare parts Segerea stand karibu na Fantasy park 0653 519 653  0758 519 653
Darajani Geraji Darajani ubungo karibu na Land Mark Hotel 0765 447 803  0686 615 298

MOSHI KILIMANJARO  

Mshiu 0714 229 079

MOROGORO 

Jumbo Lubnzants Morogoro eneo la Fine Mazimbo Road 0715 003 738
Nuba auto Auto Accessories Mtaa wa Fine morogoro 0653 129 307

DODOMA 

Temu auto parts Mtaa wa mji mpya chenja Dodoma 0754 265 211  0715 265 211
Nuba auto Accessories Eneo la CBE Dodoma 0653 746 907

MWANZA 

GT. Sahara general supplies Pamba Road mwanza0754 560 284   0754 560284
Libety mkabala na Coconut Hotel mwanza 0626 450 450

GEITA  

Kashakara auto spare parts Nyerere Road Geita

SHINYANGA 

Green Star Expresses Stendi ya mikoani 0766 876 057     0759 933 290
Phanuel  jeremia  Machinjioni eneo la viwanda shinyanga 0755 042 505  0787 592 871

SINGIDA 

Bingo spare Centre Standi ya zamani C Bomba la maji mkabala na Asma Hotel Singida  0755 961 679 0712 504 579

ZANZIBAR 

Bengkok Accessories Kwa Biziredi mkabala na Bin Rashid Madawa 0779 959 850   0788 106 469

IRINGA 

MAGELANGA – mtaa wa mahiwa, kibanda cha ccm no.6 stand kuu. 0684 025388

MAFINGA

LUMATO TELEPHONE SERVICES karibu na bank ya posta.
 0753-105040/0655-105040

MAKAMBAKO

ALEX  AUTO SPERE  – mji mwema mkabala na stand mpya.
0769-252445 /0755-519246

NJOMBE

MANGULA AUTO PARTS    -karibu na duka la Mama Widambe
0763-514771 / 0769-463911/0757-017321

MBEYA

KAPAGA   -Mtaa wa Nyimbuko Kata ya Mwakibete
0789-889331/0754-306881

TUNDUMA

DUKANI KWA YUSTO ILOMO  – Mtaa wa black kwa manyanya.
0753-353673/0653-188492

SONGEA

SIMONI MANYAI.   0716-518545

ARUSHA   0767378582

IFAKARA    0714215651

TUNDURU  0653188492

GEITA HAGA INVESTMENT 0754 879 398

Kwa maelezo zaidi na kutaka uwakala katika  wilaya na mikoa ya Tanzania piga simu  no 0715480174 au  Lira elites international Ltd no 0715 464310, waliopo ofisi za Acacia estates ghorofa ya kwanza plot no 84.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *