Tundu Lissu Kuzindua Kampeni zake mkoani Dodoma Leo katika Uwanja wa Shule ya Msingi Uhuru., noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 4, 2020

Leo, tarehe 04 September 2020, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia CHADEMA,  Tundu Lissuataendelea na uzinduzi wa kampeni ambapo leo atazindua kampeni kwenye kanda ya kati.Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Uhuru mkoani Dodoma.,

Leo, tarehe 04 September 2020, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia CHADEMA,  Tundu Lissu
ataendelea na uzinduzi wa kampeni ambapo leo atazindua kampeni kwenye kanda ya kati.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Uhuru mkoani Dodoma.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *