Tunda Man afunguka kuacha muziki kupitia Alikiba

September 12, 2020

Hivi unaikumbuka ile ngoma ya Msambinungwa ya Tunda Man na Alikiba iliyotoka mwaka 2014, kama ni ndiyo basi tarajia ladha ya wimbo mwingine kutoka kwao ambapo msanii Tunda Man amesema huenda ndiyo kazi yake ya mwisho kuacha muziki.Akifunguka kupitia EATV & EA Radio Digital, Tunda Man amesema”Nimeshafanya ngoma na Alikiba ilifanya vizuri dunia nzima, pia tumefanya kazi nyingine kwa producer Maneck ambayo ni kubwa sana kiasi kwamba naona nikiichia hivi karibuni itaweza kuwa ndiyo kazi yangu ya mwisho kwenye muziki, au unaweza kusema naacha muziki kabisa maana ni ngoma kubwa sana”,

Hivi unaikumbuka ile ngoma ya Msambinungwa ya Tunda Man na Alikiba iliyotoka mwaka 2014, kama ni ndiyo basi tarajia ladha ya wimbo mwingine kutoka kwao ambapo msanii Tunda Man amesema huenda ndiyo kazi yake ya mwisho kuacha muziki.

Akifunguka kupitia EATV & EA Radio Digital, Tunda Man amesema

“Nimeshafanya ngoma na Alikiba ilifanya vizuri dunia nzima, pia tumefanya kazi nyingine kwa producer Maneck ambayo ni kubwa sana kiasi kwamba naona nikiichia hivi karibuni itaweza kuwa ndiyo kazi yangu ya mwisho kwenye muziki, au unaweza kusema naacha muziki kabisa maana ni ngoma kubwa sana”,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *