Tume yapewa wiki mbili kurejesha mto kwenye njia, noreply@blogger.com (Muungwana Blog), on September 5, 2020 at 3:00 pm

September 5, 2020

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya amewapa wiki mbili wataalamu wa Tume ya Umwagiliaji kuhakikisha wanarejesha Mto Ruaha Mdogo kwenye njia yake.Ametoa kauli hiyo akiwa Wilaya ya Kilolo alipokwenda kuzungumza na wakulima  ambapo ameitaka Tume ya umwagiliaji ifikishie maji kwenye mashamba ya wakulima kwa haraka.”Nataka ndani ya wiki moja kuanzia sasa wataalamu wa Tume ya Umwagiliaji mfanyekazi ya kurejesha mto.Ruaha mdogo kwenye njia yake, Vifaa na mitambo ipo”, amesema Gerald Kusaya.Aidha Kusaya  ameseme kuwa Wizara ya kilimo italeta shilingi milioni 350 wiki ijayo kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu iliyoharibiwa na mafuriko.”Imenisukuma kuja hapa Pawaga kuona hali halisi ya uharibifu wa skimu zetu 4 za umwagiliaji zilizoharibiwa na mafuriko na kuwa Wizara ya Kilimo italeta shilingi milioni 350 mapema wiki ijayo ili kukarabati miundombinu”, ameongeza.,

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya amewapa wiki mbili wataalamu wa Tume ya Umwagiliaji kuhakikisha wanarejesha Mto Ruaha Mdogo kwenye njia yake.

Ametoa kauli hiyo akiwa Wilaya ya Kilolo alipokwenda kuzungumza na wakulima  ambapo ameitaka Tume ya umwagiliaji ifikishie maji kwenye mashamba ya wakulima kwa haraka.

“Nataka ndani ya wiki moja kuanzia sasa wataalamu wa Tume ya Umwagiliaji mfanyekazi ya kurejesha mto.Ruaha mdogo kwenye njia yake, Vifaa na mitambo ipo”, amesema Gerald Kusaya.

Aidha Kusaya  ameseme kuwa Wizara ya kilimo italeta shilingi milioni 350 wiki ijayo kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu iliyoharibiwa na mafuriko.

“Imenisukuma kuja hapa Pawaga kuona hali halisi ya uharibifu wa skimu zetu 4 za umwagiliaji zilizoharibiwa na mafuriko na kuwa Wizara ya Kilimo italeta shilingi milioni 350 mapema wiki ijayo ili kukarabati miundombinu”, ameongeza.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *