Tetesi za soka Ulaya Jumapili 20.09.2020:Lingard, Rice, Kounde, Mendy, Aouar, Ndombele, Suarez, Kean

September 20, 2020

Dakika 2 zilizopita

Jesse Lingard,

Maelezo ya picha,

Tottenham wanamtaka Jesse Lingard

Tottenham wanataka kusiani mkataba na kiungo wa kati wa Manchester United Muingereza Jesse Lingard, 27, kwa paunini milioni 30. (Daily Star Sunday)

West Ham wameiambia Chelsea kwamba mchezaji wa safu ya kati Muingereza Declan Rice mwenye umri wa miaka 21 sio wa kuuza. (90min)

Kaunde

Maelezo ya picha,

Kaunde anasakwa na Manchester City

Manchester City wemeweka dau la pauni milioni 50.4 kwa ajili ya mlinzi Mfaransa Jules Kounde limekataliwa na kbalu ya Uhispania Sevilla. (Marca)

Leeds United watajaribu kumsaini winga wa Manchester United Daniel James, mwenye umri wa miaka 22, kama mchezaji huyo wa kimataifa wa Wales atatimiza vigezo vya Old Trafford. (Daily Star Sunday)

Chelsea wamefikia makubaliano na timu ya Ufaransa Rennes

Maelezo ya picha,

Chelsea wamefikia makubaliano na timu ya Ufaransa Rennes

Chelsea wamefikia makubaliano na timu ya Ufaransa Rennes kuhusu mkataba wa pauni milioni 22 kwa ajili ya kumnunua mlindalango Edouard Mendy, mwenye umri wa miaka 28. (Observer)

Valencia wako makini kuhusu mkataba wa pauni milioni 6 kwa ajili ya mlindalango wa Manchester United na Argentina Sergio Romero, 33. (Sunday Mirror)

Wolves wanataka kumsaini Alex Oxlade-Chamberlain

Maelezo ya picha,

Wolves wanataka kumsaini Alex Oxlade-Chamberlain

Wolves wanataka kusaini mkataba na mchezaji wa safu ya kati wa Liverpool na England Alex Oxlade-Chamberlain mwenye umri wa miaka 27. (Sunday Mirror)

Houssem Aouar

Maelezo ya picha,

Arsenal hawajaamua au hawawezi kufikia kutimiza kiwango alichothamanishwa

Rais wa klabu ya Lyon Jean-Michel Aulas anasema Arsenal hawajaamua au hawawezi kufikia kiwango cha thamani cha mchezaji huyo wa Ligi ya 1, kiungo wa kati Mfaransa Houssem Aouar, 22. (Goal)Mchezaji nyota wa Everton)

James Rodriguez, mwenye umri wa miaka 29, alihamia klabu hiyo bila malipo kutoka Real Madrid, kwa mujibu wa klabu yake ya zamani . (Sunday Times – subscription required)

Kiungo wa kati wa Ufaransa Tanguy Ndombele ametatua matatizo aliyokua nayo na Mourinho

Maelezo ya picha,

Kiungo wa kati wa Ufaransa Tanguy Ndombele ametatua matatizo aliyokua nayo na Mourinho

Kiungo wa kati wa Ufaransa Tanguy Ndombele, ambaye amekuwa akihusishwa na taarifa za kuhamia katika timu za Inter Milan na Juventus, ameamua kubakia Tottenham baada ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 23-kutatua matatizo yake na meneja Jose Mourinho. (L’Equipe, via Football Italia)

Suarez hatahamia atahamia upande wa Championi ya Serie A
Maelezo ya picha,

Suarez hatahamia atahamia upande wa Championi ya Serie A

Juventus wanaangalia jinsi ya kumrejesha tena katika klabu hiyo mshambuliaji wa Everton na Italia Moise Kean, mweye umri wa miaka 20, kwa mkataba wa mkopo wenye kipengele cha kununua. (Goal)

Kocha wa Juventus Andrea Pirlo anasema ni jambo “lisilowezekana ” kwamba mshambuliaji wa Barcelona na Uruguay Luis Suarez, mwenye umri wa miaka 33, atahamia upande wa Championi ya Serie A . (Football Italia)

West Ham wako mbele katika mbio za kumsaka Djibril Sidibe

Maelezo ya picha,

West Ham wako mbele katika mbio za kumsaka Djibril Sidibe

West Ham wanaongoza katika kinyang’anyiro cha kumsiani kiungo wa kulia-nyuma wa Ufaransa Djibril Sidibe kutoka Monaco, huku Newcastle United na Wolves pia wakimkodolea macho kijana huyo mwenye umri wa miaka 28-year-old. (90min)

Lakini Crystal Palace wanataka kumsajili Brewster kutoka kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England kwa mkataba wa kudumu. (90Min)

Riqui Puig aambiwa aondoke Barcelona kwa mkopo

Maelezo ya picha,

Riqui Puig aambiwa aondoke Barcelona kwa mkopo

Meneja wa Barcelona Ronald Koeman amemwambia kiungo wa kati wa Uhispania Riqui Puig, mwenye umri wa miaka 21, kwamba anapaswa kuondoka kwa mkopo. (Marca)

Leeds bado wana matumaini ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Argentina anayecheza safu ya kati Rodrigo de Paul, 26,kutoka Udinese. (Fabrizio Romano)

Juventus wanataka kumsajili tena Moise Kean

Maelezo ya picha,

Juventus wanataka kumsajili tena Moise Kean

Juventus wanataka kumsajili tena Moise Kean, 20, kutoka Everton wakati mshambuliaji huyo wa Italia akijikakamua kutulia Goodison Park tangu alipotua hapo msimu wa joto wa 2019. (Goal)

Arsenal, Leeds na Wolves wanamfuatilia kiungo wakati wa Reading mwenye umri wa miaka 18 Michael Olise. (Football League World).

Unaweza pia kusikiliza:

Huwezi kusikiliza tena

Maelezo ya video,

Matazamo wangu: Ubashiri wa mechi za EPL wikendi hii

Aston Villa wanapigiwa upatu kumsaini winga wa Burkina Faso Bertrand Traore,25,kutoka Lyon. (Sky Sports)

Source link

,Dakika 2 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Tottenham wanamtaka Jesse Lingard Tottenham wanataka kusiani mkataba na…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *