Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 12.09.2020: Sancho, Sarr, Wilshere, Bellerin, Mendy, Giroud, Hudson-Odoi, Tarkowski

September 12, 2020

Dakika 3 zilizopita

Jason

Manchester United wanafikiria kumaliza harakati zao za kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20. Liverpool wanaweka msingi wa mapema kumsajili mshambuliaji wa Watford na Senegal Ismaila Sarr, 22, mnamo Januari.

beki wa Uhispania Hector Bellerin, 2
Maelezo ya picha,

Beki wa Uhispania Hector Bellerin, 2

Barcelona itatoa ofa ya mkopo kwa Arsenal kwa beki wa Uhispania Hector Bellerin, 25.

Mlinda mlango wa Rennes Edouard Mendy, 28, atapatiwa matibabu huko London wikendi hii baada ya Chelsea kukubali makubaliano ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Senegal.

Mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa Olivier Giroud, 33, “alishangaa” na uvumi unaomuunganisha na Juventus.

Chelsea wanafikiria kumtoa kwa mkopo winga wa England Callum Hudson-Odoi, 19.

meneja

Meneja David Moyes anasema West Ham haitakidhi bei ya kuwauliza Burnley kwa mlinzi wa kimataifa wa England James Tarkowski, 27.

Huenda Tottenham wakasaini mshambuliaji wa Napoli na Poland Arkadiusz Milik, 26, usajili huu wa sasa.

Meneja wa Crystal Palace Roy Hodgson anasema anashangaa hakuna vilabu “vinavyobisha hodi” na njia rasmi za winga wa Ivory Coast Wilfried Zaha, 27.

mshambuliaji wa Watford na England Troy Deeney, 32.

Maelezo ya picha,

Mshambuliaji wa Watford na England Troy Deeney, 32.

West Brom wako kwenye mazungumzo ya hali ya juu kumsajili mshambuliaji wa Watford na England Troy Deeney, 32.

Brighton wamejiunga na mbio za kumsajili mlinda mlango wa Arsenal wa Argentina Emiliano Martinez. Aston Villa pia inampenda mchezaji huyo wa miaka 28

Mlinzi wa Uswisi Gaetano Berardi, 32, anatarajia kusaini mkataba mpya na Leeds United mwezi huu. Mkataba wa awali wa Berardi ulimalizika mwishoni mwa msimu uliopita na kwa sasa yuko pembeni na jeraha la ACl.

Aston Villa wanaandaa zabuni ya euro milioni 18 (£ 16.6m) kwa Werder Bremen na mshambuliaji wa Kosovo Milot Rashica, 24.

Tottenham wameambiwa Red Bull Salzburg na mshambuliaji wa Zambia Patson Daka, 21, anataka kukaa Austria.

RAYA

Arsenal wamefungua mazungumzo na Brentford juu ya makubaliano ya uwezekano wa kipa wa Uhispania David Raya, 24.

Bournemouth itamruhusu mshambuliaji wa Norway Joshua King, 28, kuondoka klabuni hapo.

Manchester United wamekubali ada ya pauni 750,000 na Manchester City kwa mshambuliaji wa Uingereza 17 Charlie McNeill.

Source link

,Dakika 3 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Manchester United wanafikiria kumaliza harakati zao za kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *