Tetesi za soka Ulaya 08.09.2020 Jumanne: Sancho, Bale, Telles, Brewster, Thiago, Mendy, Kante, Tarkowski

September 8, 2020

Man United inatumai kuwasajili wachezaji watatu kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho la msimu huu, huku mshambuliaji wa England na Borussia Dortmund Jadon Sancho 20 akisalia mchezaji wanayemlenga kwa udi na uvumba. (Manchester Evening News)

Source link

,Man United inatumai kuwasajili wachezaji watatu kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho la msimu huu, huku mshambuliaji wa England…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *