Tetesi za soka kimataifa, on September 7, 2020 at 6:00 am

September 7, 2020

 Mkufunzi mpya wa Barcelona Ronald Koeman ameambia klabu hiyo anataka kumzuia Phillipe Coutinho msimu huu badala ya kumtoa mchezaji huyo wa Brazil kwa mkopo. (Marca)Mchezaji wa Scotland Ryan Frazer 12 amekubali kujiunga na klabu ya Newcastle baada ya kuondoka klabu ya Bournemouth mwisho wa msimu na sasa anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya matibabu. (Sky Sports)Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amezungumza na winga wa England Jadon Sancho, 20, kuhusu kujiunga na klabu hiyo kutoka klabu ya Borussia Dortmund msimu huu . (Express)Licha ya Gareth Bale kutaka kuondoka Real Madrid , klabu hiyo haijapokea maombi yoyote ya mshambuliaji huyo wa Wales, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 akikataa kupunguziwa mshahara wake na hivyobasi kuwazima wanaommezea mate. (Mundo Deportivo – in Spanish)Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, 33, anatarajiwa kukalia mtihani wa Lugha siku ya Jumatatu ili kupatiwa uraia wa Itali , hatua itakayomfanya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Juventus.(Eurosport)Mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko, 34, ameomba kuondoka klabu ya Roma na kujiunga na Juventus. (Corriere dello Sport – in Italian)Barcelona inaandaa ofa ya mwisho kumnunua mshabuliaji wa Argentina Lautaro , 23. (Goal)West Ham italazimika kuongeza ombi lao la dau la £27m ili kuwa na fursa yoyote ya kumsajili beki wa kati wa Burnley James Tarkowski, 27. (Sun)Tarkowski anasema kwamba anataka kucheza katika ligi ya mabingwa iwapo fursa itajitokeza na anatumai kurudi katika kikosi cha England. (Telegraph)Sheffield United inakamilisha dau la £11m kumsaini beki wa Derby na England Jayden Bogle, 20, na Max Lowe, 23, na pia watampeana mshambuliaji wa Ireland Callum Robinson, 25, ili kumpata winga wa Usochi Oliver Burke, 23. (Mail)Mchezaji wa Liverpool na aliyekuwa winga wa timu isiozidi wachezaji wa miaka 21 nchini England Sheyi Ojo, 23, anatarajiwa kujiung na klabu ya Cardiff katika ligi ya daraja la kwanza nchini England kwa mkopo licha ya hamu kutoka Nottingham Forest. (Liverpool Echo),

 

Mkufunzi mpya wa Barcelona Ronald Koeman ameambia klabu hiyo anataka kumzuia Phillipe Coutinho msimu huu badala ya kumtoa mchezaji huyo wa Brazil kwa mkopo. (Marca)

Mchezaji wa Scotland Ryan Frazer 12 amekubali kujiunga na klabu ya Newcastle baada ya kuondoka klabu ya Bournemouth mwisho wa msimu na sasa anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya matibabu. (Sky Sports)

Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amezungumza na winga wa England Jadon Sancho, 20, kuhusu kujiunga na klabu hiyo kutoka klabu ya Borussia Dortmund msimu huu . (Express)

Licha ya Gareth Bale kutaka kuondoka Real Madrid , klabu hiyo haijapokea maombi yoyote ya mshambuliaji huyo wa Wales, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 akikataa kupunguziwa mshahara wake na hivyobasi kuwazima wanaommezea mate. (Mundo Deportivo – in Spanish)

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, 33, anatarajiwa kukalia mtihani wa Lugha siku ya Jumatatu ili kupatiwa uraia wa Itali , hatua itakayomfanya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Juventus.(Eurosport)

Mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko, 34, ameomba kuondoka klabu ya Roma na kujiunga na Juventus. (Corriere dello Sport – in Italian)

Barcelona inaandaa ofa ya mwisho kumnunua mshabuliaji wa Argentina Lautaro , 23. (Goal)

West Ham italazimika kuongeza ombi lao la dau la £27m ili kuwa na fursa yoyote ya kumsajili beki wa kati wa Burnley James Tarkowski, 27. (Sun)

Tarkowski anasema kwamba anataka kucheza katika ligi ya mabingwa iwapo fursa itajitokeza na anatumai kurudi katika kikosi cha England. (Telegraph)

Sheffield United inakamilisha dau la £11m kumsaini beki wa Derby na England Jayden Bogle, 20, na Max Lowe, 23, na pia watampeana mshambuliaji wa Ireland Callum Robinson, 25, ili kumpata winga wa Usochi Oliver Burke, 23. (Mail)

Mchezaji wa Liverpool na aliyekuwa winga wa timu isiozidi wachezaji wa miaka 21 nchini England Sheyi Ojo, 23, anatarajiwa kujiung na klabu ya Cardiff katika ligi ya daraja la kwanza nchini England kwa mkopo licha ya hamu kutoka Nottingham Forest. (Liverpool Echo)

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *