Tetesi za soka kimataifa, on September 18, 2020 at 6:00 am

September 18, 2020

 Liverpool wamemfuatilia Ismaila Sarr na kujadili suala lake na Watford, ambayo inataka pauni milioni 36 kwa ajili ya mshambuliaji huyo.(Mail)Sarr pia ametambulika na Manchester United kama mbadala ikiwa mpango wa kumnasa winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho utashindwa.(Independent)Mashetani wekundu pia wanafikiria uhamisho wa winga wa Inter Milan Ivan Perisic, 31, Kingsley Coman,24 anayekipiga Bayern Munich na Douglas Costa kutoka Juventus. (ESPN)Manchester United wanamfuatilia kiungo wa kati wa Ujerumani Sami Khedira,33, mkataba wake na Juventus utakapokwisha. (Sun)Wakala wa Edouard Mendy amedai kuwa makubaliano yameafikiwa kwa ajili ya mlinda mlango huyo, 28, anayekipiga katika klabu ya Rennes kujiunga na Chelsea. (Stades – via Star)Brentford amekataa ofa ya takriban pauni milioni 10 kutoka Arsenal kwa ajili ya mlinda mlango David Raya, 25. (Telegraph)Leicester City iko karibu kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Uturuki Cengiz Under,23, kutoka Roma na mlinzi wa Burnley James Tarkowski,27, bado anatolewa macho na Brendan Rodgers.(Sky Sports)West Ham imebadili muundo wa ofa kwa ajili ya kumnasa Tarkowski lakini ofa hiyo bado imekataliwa na Burnley.(Sky Sports)West Brom wanajaribu kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta, kabla ya mchezaji huyo mwenye miaka 27, hajamaliza mchakato wa kuhamia Fenerbahce. (Sun)Mlinzi wa zamani wa Liverpool Nathaniel Clyne anafanya mazoezi na klabu ya Crystal Palace na anaweza kupata mkataba na klabu hiyo ya Selhurst Park . (Standard)Edin Dzeko anajiandaa kujiunga na Juventus akitokea Roma kwa mkataba wa miaka miwili. Uhamisho wa mshambuliaji wa Herzegovina,34, utamaanisha kuwa matumaini ya Luis Suarez kutoka Barcelona huenda yakafikia mwisho.(Goal)Kiungo wa kati wa Tottenhan Dele Alli,24, ameibuka kuwa mlengwa wa Paris St-Germain na Inter Milan. (Mail)Mshambuliaji wa Serbia Luka Jovic,22, anafikiria kuondoka Real Madrid.(Marca)Juventus imethibitisha rasmi uhamisho wa Gonzalo kutoka kwenye klabu hiyo. Mshambuliaji huyo,32, anatarajiwa kujiunga na klabu ya MLS Inter Miami. (Goal),

 

Liverpool wamemfuatilia Ismaila Sarr na kujadili suala lake na Watford, ambayo inataka pauni milioni 36 kwa ajili ya mshambuliaji huyo.(Mail)

Sarr pia ametambulika na Manchester United kama mbadala ikiwa mpango wa kumnasa winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho utashindwa.(Independent)

Mashetani wekundu pia wanafikiria uhamisho wa winga wa Inter Milan Ivan Perisic, 31, Kingsley Coman,24 anayekipiga Bayern Munich na Douglas Costa kutoka Juventus. (ESPN)

Manchester United wanamfuatilia kiungo wa kati wa Ujerumani Sami Khedira,33, mkataba wake na Juventus utakapokwisha. (Sun)

Wakala wa Edouard Mendy amedai kuwa makubaliano yameafikiwa kwa ajili ya mlinda mlango huyo, 28, anayekipiga katika klabu ya Rennes kujiunga na Chelsea. (Stades – via Star)

Brentford amekataa ofa ya takriban pauni milioni 10 kutoka Arsenal kwa ajili ya mlinda mlango David Raya, 25. (Telegraph)

Leicester City iko karibu kumsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Uturuki Cengiz Under,23, kutoka Roma na mlinzi wa Burnley James Tarkowski,27, bado anatolewa macho na Brendan Rodgers.(Sky Sports)

West Ham imebadili muundo wa ofa kwa ajili ya kumnasa Tarkowski lakini ofa hiyo bado imekataliwa na Burnley.(Sky Sports)

West Brom wanajaribu kumsajili mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta, kabla ya mchezaji huyo mwenye miaka 27, hajamaliza mchakato wa kuhamia Fenerbahce. (Sun)

Mlinzi wa zamani wa Liverpool Nathaniel Clyne anafanya mazoezi na klabu ya Crystal Palace na anaweza kupata mkataba na klabu hiyo ya Selhurst Park . (Standard)

Edin Dzeko anajiandaa kujiunga na Juventus akitokea Roma kwa mkataba wa miaka miwili. Uhamisho wa mshambuliaji wa Herzegovina,34, utamaanisha kuwa matumaini ya Luis Suarez kutoka Barcelona huenda yakafikia mwisho.(Goal)

Kiungo wa kati wa Tottenhan Dele Alli,24, ameibuka kuwa mlengwa wa Paris St-Germain na Inter Milan. (Mail)

Mshambuliaji wa Serbia Luka Jovic,22, anafikiria kuondoka Real Madrid.(Marca)

Juventus imethibitisha rasmi uhamisho wa Gonzalo kutoka kwenye klabu hiyo. Mshambuliaji huyo,32, anatarajiwa kujiunga na klabu ya MLS Inter Miami. (Goal)

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *