Tetesi na Dalili za Rayvanny Kutaka Kuikimbia WCB Wasafi Zaanza Kuonekana Tena…

October 14, 2020

 

FAHAMU: Kwenye picha hii kuna watu watatu ambao tayari Diamondplatnumz kawapoteza wa kwanza Zarithebosslady wapili Harmonize_tz na wa mwisho ni *Rayvanny

Taarifa za Chini chini inasemekana Vanboy yupo kwenye kufanya malipo ya mwisho mwisho ili ahame kwenye Lebo hiyo peaceful kabisa.

Na ndio maana ukifatilia sasa hivi Kaacha kusupport kazi za Wcb Wasafi.

Mfano Wimbo mpya wa Mbosso HAIJAKAA SAWA hajaupost licha ya kuwa na ushikaji wa karibu na Mbosso.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *