Tetemeko la ardhi laikumba Iran, on September 7, 2020 at 3:00 pm

September 7, 2020

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5,1 katik kipimo cha Richter limetokea Kaskazini mwa Iran.Katika tetemeko hilo ni watu  10 ndioa mabo wameripotiwa kujeruhiwa katika mkoa wa Gulistani.Taarifa iliotolewa na kitengo cha utafiti wa ardhi katika chuo kikuu cha mjini Tehran, tetemeko hilo ambalo kitovu chake  kinapatikana katija kitongoji cga Ramiyan limetokea usiku majira ya saa nane.Tetemeko hilo limesikika katika umbali wa kilomita 9.Shirika la wanafunzi la ISNA  kwa ushirikiano na mashirika ya kutoa misaada katika matukio ya dharura , limefahamisha kutoa  misaada kwa familia za wahanga.Taarifa zinafahamisha kutokea kwa  uharibifu baada ya tetemeko hilo, majumba na miundombinu vimeharibiwa na tetemeko hilo.Watu 7 wameripotiwa kujeruhiwa katika kijiji cha Kuruçay Elhadi.Shuhuli za uokoaji zinaendelea katika maeneo ambayo yameathirika  mno na tetemeko hilo.,

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5,1 katik kipimo cha Richter limetokea Kaskazini mwa Iran.

Katika tetemeko hilo ni watu  10 ndioa mabo wameripotiwa kujeruhiwa katika mkoa wa Gulistani.

Taarifa iliotolewa na kitengo cha utafiti wa ardhi katika chuo kikuu cha mjini Tehran, tetemeko hilo ambalo kitovu chake  kinapatikana katija kitongoji cga Ramiyan limetokea usiku majira ya saa nane.

Tetemeko hilo limesikika katika umbali wa kilomita 9.

Shirika la wanafunzi la ISNA  kwa ushirikiano na mashirika ya kutoa misaada katika matukio ya dharura , limefahamisha kutoa  misaada kwa familia za wahanga.

Taarifa zinafahamisha kutokea kwa  uharibifu baada ya tetemeko hilo, majumba na miundombinu vimeharibiwa na tetemeko hilo.

Watu 7 wameripotiwa kujeruhiwa katika kijiji cha Kuruçay Elhadi.

Shuhuli za uokoaji zinaendelea katika maeneo ambayo yameathirika  mno na tetemeko hilo.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *