Tetemeko la ardhi laikumba Amerika ya Kusini, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 2), on September 1, 2020 at 3:00 pm

September 1, 2020

Matetemeko mawili ya ardhi yenye ukubwa wa 6.8 na 6.3 yametokea katika nchi ya Chile Kusini mwa Marekani.Kulingana na taarifa iliyotolewa na mamlaka ya eneo hilo, tetemeko la ardhi la kwanza limepishana dakika chache sana na tetemeko la pili.Kituo cha Utafiti wa Jiolojia cha Marekani kimetangaza kuwa tetemeko la ardhi la kwanza lenye ukubwa wa 6.8 ambalo lilitokea saa 12.09 kwa saa za nchi hiyo lilifikia kilomita 78 kaskazini mashariki mwa mji wa Vallenar. Dakika chache baada ya tetemeko hilo, tetemeko lingine lenye ukubwa wa 6.3 lilirekodiwa katika eneo hilo hilo.Matetemeko hayo yamefikia kina 35 chini ya ardhi.Mtetemeko huo umesikika pia kilomita 800 kusini mwa mji mkuu, wa Santiago.Hakuna aliyeripotiwa kupoteza maisha wala uharibifu wa mali.,

Matetemeko mawili ya ardhi yenye ukubwa wa 6.8 na 6.3 yametokea katika nchi ya Chile Kusini mwa Marekani.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na mamlaka ya eneo hilo, tetemeko la ardhi la kwanza limepishana dakika chache sana na tetemeko la pili.

Kituo cha Utafiti wa Jiolojia cha Marekani kimetangaza kuwa tetemeko la ardhi la kwanza lenye ukubwa wa 6.8 ambalo lilitokea saa 12.09 kwa saa za nchi hiyo lilifikia kilomita 78 kaskazini mashariki mwa mji wa Vallenar. Dakika chache baada ya tetemeko hilo, tetemeko lingine lenye ukubwa wa 6.3 lilirekodiwa katika eneo hilo hilo.

Matetemeko hayo yamefikia kina 35 chini ya ardhi.

Mtetemeko huo umesikika pia kilomita 800 kusini mwa mji mkuu, wa Santiago.

Hakuna aliyeripotiwa kupoteza maisha wala uharibifu wa mali.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *