Tetemeko la ardhi Chile, on September 11, 2020 at 6:00 pm

September 11, 2020

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.5 limeipiga nchi ya Chile, Amerika ya Kusini.Kituo cha Utafiti wa Jioscience cha GFZ kimetangaza kuwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.5 liimetokea pwani ya Chile Kaskazini.Tetemeko hilolimeripotiwakufikia kina cha kilomita 44, Hakuna onyo la tsunami lililotolewa.,

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.5 limeipiga nchi ya Chile, Amerika ya Kusini.

Kituo cha Utafiti wa Jioscience cha GFZ kimetangaza kuwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.5 liimetokea pwani ya Chile Kaskazini.

Tetemeko hilolimeripotiwakufikia kina cha kilomita 44, Hakuna onyo la tsunami lililotolewa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *