Tembo 12 Wafa Katika Mazingira ya Kutatanisha Zimbabwe, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 31, 2020

Mamalaka ya hifadhi ya wanyama nchini Zimbabwe zinachunguza jinsi tembo 12 walivyokufa katika mbuga ya kitaifa ya Hwange.Tembo hao walipatikana wakiwa wamekufa wakiwa na pembe zao.Mamlaka zinasema hazina hofu kwamba huenda wametiliwa sumu ya cyanide – ambayo pia hutumiwa na wawindaji haramu badala ya silaha- kwani hakuna wanyama wengine walioathirikaSampuli ya damu imechukuliwa kutoka kwa tembo hao kuchunguza kilichosababisha vifo vyao.Mbuga ya kitaifa ya Hwange National inakaribia mpaka wa Botswana ambako mamia ya mizoga ya tembo ilipatikana mwaka huu.,

Mamalaka ya hifadhi ya wanyama nchini Zimbabwe zinachunguza jinsi tembo 12 walivyokufa katika mbuga ya kitaifa ya Hwange.

Tembo hao walipatikana wakiwa wamekufa wakiwa na pembe zao.

Mamlaka zinasema hazina hofu kwamba huenda wametiliwa sumu ya cyanide – ambayo pia hutumiwa na wawindaji haramu badala ya silaha- kwani hakuna wanyama wengine walioathirika

Sampuli ya damu imechukuliwa kutoka kwa tembo hao kuchunguza kilichosababisha vifo vyao.

Mbuga ya kitaifa ya Hwange National inakaribia mpaka wa Botswana ambako mamia ya mizoga ya tembo ilipatikana mwaka huu.,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *