Teknologia ya mtandao kukuwa kwa kasi visiwan Zanzibar, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 31, 2020 at 1:00 pm

August 31, 2020

Na Thabit Madai,ZanzibarIMEELEZWA kwamba Teknologia ya Mawasiliano kwa kutumia mtandao visiwani Zanzibar inatarajiwa kukuwa kwa kasi  huku wananchi wakitajwa kunufaika kwa kiasi kikubwa kutokana na huduma hizo kuzipaa kwa urahisi  na bei nafuuHayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa wakala wa Miondombinu ya Tehama Zanzibar,Eng Shakuru Awadhi Suleiman wakati akizungumza na Wandishi wa habari mara baada ya zoezi la utiaji wa saini wa mkataba wa kuwaunganisha kampuni ya  Zanlink kupitisha kiwango cha teknologia ya mtandao  (INTERNET) kwa hali ya juu bila ya kuwa na kikwazo chochoteMkataba huo umesainiwa pande mbili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na usafirishaji  Zanzibar  na kampuni ya Mtandao ya Zanlink iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo mkataba huo umesainiwa katika ukumbi wa Wizara hiyo Kisauni  Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.Eng Shakuru alisema kwamba kwa sasa Teknologia ya mawasiliano kwa tumia mtandao visiwani Zazibar inakwenda kukuwa kwa kasi ambapo  mwananchi Serikali, Tasisi binafsi pamoja na mwananchi wa kawaida anakwenda kufadika moja kwa moja kw matumizi ya mtandao kwa urahisi na bei nafuu.”Unajua kwamba taifa lifikie maendeleo yalijiwekea ni lazima kuwepo na teknologia ya mawasiliano kwa kutumia mtandao abapo sasa Zanzibar  tunakwenda kukuwa zaidi ambapo mwananchi wa kawaida atatumia Interne’, kwa urahisi na bei nafuu” alisema Eng Shakuru.Alieleza kuwa Mkataba uliosainiwa unakwenda kuwawezesha kampuni ya Zanzlin kuweza kupitisha huuma za mtandao kutoka Tanzania bara hadi Zanzibar kwa hali ya juu  ambapo Interne itinapatkana muda wote bila kikwazo cha aina yoyote.”Mkataba huu tuliousaini hapa ni mkataba wa kuwawezesha hawa Zanlin kupitisha Intarnet kutoka bara hadi Zanzibar kiwango cha data kitakuwa juu mwananchi atafaidika kwa kutumia internet ya uhakika kwani kiwango cha Internet kitakachopitishwa ni kikubwa kutoka katika mitambo iliyopo jijini Dar Es Salaam” aleleza Eng ShakuruAlongeza kueleza kwamba maeneo yote ya Zanzibar mijini hadi vijijini kutptikana huduma ya mtandao (Internet) bila ya Usumbufu wa aina yoyote na upatkana kwa bei rahisi”Kama munavyofahamu kwamba sik hizi kila kitu kinaendeshwa kwa huduma za kimtandao hivyo uwepo wa mkataba huuutarahisha Zanlink kufanya shughuli zao kwa urahisi huku maeneo yote mijini na vijijini watapata huduma za Internet bila usumbufu”alieleza Eng Shakuru.Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zanlink kutoka makamo makuu jijini Dar es Salaam, Sanjay Raja alisema kuwa mkataba huo ambao wameingia na Serikali ya Mapinduzi ya Zazibar ni mkatba wa mwaka mmoja ambapo watatoa huduma za kupitisha teknologi ya mtandao kwa urahisi na kuwafikia walengwa visiwan humo.Alisema Mkataba huo hautaangalia nadharia ya biashara bali upo kwa ajili ya kuwasaidia wananchi visiwani Zanzibar kiasi kikubwa kutokana na huduma za mtandao kuwa na umuhimu  katika kukuza uchumi wa taifa.”Sisi Zanlink mbali ya kuwa tunafanya biashara laini huwa tunasaidia jamii kwa makundi mblimbali na sekta tofauti tofauti kwa kutambua kuwa huduma za mtandao husaidia katika kukuza uchumi wa taifa lolote lile” alisema Sanjay Raja.Kwa Upande wake  Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mustafa Aboud Jumbe  alisema Mkataba huo umeridhwa na Seikali  ya mapinduzi ya Zanzibar na kuweka matumaini makubwa katika kukuza teknologia ya mawasiliano kwa kutuma mtandao ambapo hapo awali hali haikuwa nzuriAlisema Maisha ya Wanzanzbar yaawenda kurahisishwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kukuwa kwa huduma hizo ambapo Wananchi watafanya shughuli zao kwa njia ya mtndao kwa urahisi na bei nafuu.,

Na Thabit Madai,Zanzibar

IMEELEZWA kwamba Teknologia ya Mawasiliano kwa kutumia mtandao visiwani Zanzibar inatarajiwa kukuwa kwa kasi  huku wananchi wakitajwa kunufaika kwa kiasi kikubwa kutokana na huduma hizo kuzipaa kwa urahisi  na bei nafuu

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa wakala wa Miondombinu ya Tehama Zanzibar,Eng Shakuru Awadhi Suleiman wakati akizungumza na Wandishi wa habari mara baada ya zoezi la utiaji wa saini wa mkataba wa kuwaunganisha kampuni ya  Zanlink kupitisha kiwango cha teknologia ya mtandao  (INTERNET) kwa hali ya juu bila ya kuwa na kikwazo chochote

Mkataba huo umesainiwa pande mbili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na usafirishaji  Zanzibar  na kampuni ya Mtandao ya Zanlink iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo mkataba huo umesainiwa katika ukumbi wa Wizara hiyo Kisauni  Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.

Eng Shakuru alisema kwamba kwa sasa Teknologia ya mawasiliano kwa tumia mtandao visiwani Zazibar inakwenda kukuwa kwa kasi ambapo  mwananchi Serikali, Tasisi binafsi pamoja na mwananchi wa kawaida anakwenda kufadika moja kwa moja kw matumizi ya mtandao kwa urahisi na bei nafuu.

“Unajua kwamba taifa lifikie maendeleo yalijiwekea ni lazima kuwepo na teknologia ya mawasiliano kwa kutumia mtandao abapo sasa Zanzibar  tunakwenda kukuwa zaidi ambapo mwananchi wa kawaida atatumia Interne’, kwa urahisi na bei nafuu” alisema Eng Shakuru.

Alieleza kuwa Mkataba uliosainiwa unakwenda kuwawezesha kampuni ya Zanzlin kuweza kupitisha huuma za mtandao kutoka Tanzania bara hadi Zanzibar kwa hali ya juu  ambapo Interne itinapatkana muda wote bila kikwazo cha aina yoyote.

“Mkataba huu tuliousaini hapa ni mkataba wa kuwawezesha hawa Zanlin kupitisha Intarnet kutoka bara hadi Zanzibar kiwango cha data kitakuwa juu mwananchi atafaidika kwa kutumia internet ya uhakika kwani kiwango cha Internet kitakachopitishwa ni kikubwa kutoka katika mitambo iliyopo jijini Dar Es Salaam” aleleza Eng Shakuru

Alongeza kueleza kwamba maeneo yote ya Zanzibar mijini hadi vijijini kutptikana huduma ya mtandao (Internet) bila ya Usumbufu wa aina yoyote na upatkana kwa bei rahisi

“Kama munavyofahamu kwamba sik hizi kila kitu kinaendeshwa kwa huduma za kimtandao hivyo uwepo wa mkataba huuutarahisha Zanlink kufanya shughuli zao kwa urahisi huku maeneo yote mijini na vijijini watapata huduma za Internet bila usumbufu”alieleza Eng Shakuru.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zanlink kutoka makamo makuu jijini Dar es Salaam, Sanjay Raja alisema kuwa mkataba huo ambao wameingia na Serikali ya Mapinduzi ya Zazibar ni mkatba wa mwaka mmoja ambapo watatoa huduma za kupitisha teknologi ya mtandao kwa urahisi na kuwafikia walengwa visiwan humo.

Alisema Mkataba huo hautaangalia nadharia ya biashara bali upo kwa ajili ya kuwasaidia wananchi visiwani Zanzibar kiasi kikubwa kutokana na huduma za mtandao kuwa na umuhimu  katika kukuza uchumi wa taifa.

“Sisi Zanlink mbali ya kuwa tunafanya biashara laini huwa tunasaidia jamii kwa makundi mblimbali na sekta tofauti tofauti kwa kutambua kuwa huduma za mtandao husaidia katika kukuza uchumi wa taifa lolote lile” alisema Sanjay Raja.

Kwa Upande wake  Katibu mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, Mustafa Aboud Jumbe  alisema Mkataba huo umeridhwa na Seikali  ya mapinduzi ya Zanzibar na kuweka matumaini makubwa katika kukuza teknologia ya mawasiliano kwa kutuma mtandao ambapo hapo awali hali haikuwa nzuri

Alisema Maisha ya Wanzanzbar yaawenda kurahisishwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kukuwa kwa huduma hizo ambapo Wananchi watafanya shughuli zao kwa njia ya mtndao kwa urahisi na bei nafuu.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *