TCRA: Watangazaji wa vyombo vya habari wanapaswa kuwa Shahada, Stashahada, on September 15, 2020 at 6:00 am

September 15, 2020

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imezipiga marufuku radio zote nchini na televisheni kutumia watu wasio na taaluma ya uandishi wa habari kuendesha vipindi vyao.Marufuku hiyo imekuja kufuatia siku za hivi karibuni kuibuka wimbi la wasanii, wachekeshaji kutangaza vipindi mbali mbali vya radio na televisheni.,

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imezipiga marufuku radio zote nchini na televisheni kutumia watu wasio na taaluma ya uandishi wa habari kuendesha vipindi vyao.

Marufuku hiyo imekuja kufuatia siku za hivi karibuni kuibuka wimbi la wasanii, wachekeshaji kutangaza vipindi mbali mbali vya radio na televisheni.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *