Tawala hasimu za Libya zakutana Morocco kwa mazungumzo, on September 7, 2020 at 8:00 am

September 7, 2020

 Waziri wa mambo ya nje wa Morocco, Nasser Bourita, akiongoza mkutano huoImage caption: Waziri wa mambo ya nje wa Morocco, Nasser Bourita, akiongoza mkutano huoWajumbe wa tawala mbili hasimu nchini Libya wamekutana kwa mazungumzo nchini Morocco wiki mbili baada ya pande hiz mbili kusitisha mapigano.Wajumbe watano kutoka kila upande ikiwa ni pamoja na ule wa serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa iliyo na makao yake Tripoli na bunge hasimu lililo na makao yake katika mji wa mashariki wa Tobruk.Akifungua rasmi mkutano huo katika mji wa Bouznika Waziri wa mambo ya nje wa Morocco Nasser Bourita, amesema Morocco haina ajenda yoyote bali inataka uwapatia nafasi viongozi wa Libya kadili masuala yanayowagawanya.Morocco ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa mwaka2015 ambao ulichangia kubuniwa kwa serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa mjini Tripoli.,

 

Waziri wa mambo ya nje wa Morocco, Nasser Bourita, akiongoza mkutano huoImage caption: Waziri wa mambo ya nje wa Morocco, Nasser Bourita, akiongoza mkutano huo

Wajumbe wa tawala mbili hasimu nchini Libya wamekutana kwa mazungumzo nchini Morocco wiki mbili baada ya pande hiz mbili kusitisha mapigano.

Wajumbe watano kutoka kila upande ikiwa ni pamoja na ule wa serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa iliyo na makao yake Tripoli na bunge hasimu lililo na makao yake katika mji wa mashariki wa Tobruk.

Akifungua rasmi mkutano huo katika mji wa Bouznika Waziri wa mambo ya nje wa Morocco Nasser Bourita, amesema Morocco haina ajenda yoyote bali inataka uwapatia nafasi viongozi wa Libya kadili masuala yanayowagawanya.

Morocco ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa mwaka2015 ambao ulichangia kubuniwa kwa serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa mjini Tripoli.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *