Tanzia: Nyota wa filamu ya ‘Black Panther’ Chadwick afariki dunia, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on August 29, 2020 at 7:00 am

August 29, 2020

 Mwigizaji nyota wa filamu ya ‘Black Panther’ Chadwick Boseman (43) amefariki dunia baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani ya utumbo mpana kwa miaka 4.Boseman ambaye alicheza kama T’Challa kwenye filamu hiyo ya Black Panther, amefariki akiwa nyumbani kwake mjini Los Angeles huku akiwa amezungukwa na mkewe pamoja na familia yake.,

 

Mwigizaji nyota wa filamu ya ‘Black Panther’ Chadwick Boseman (43) amefariki dunia baada ya kupambana na ugonjwa wa saratani ya utumbo mpana kwa miaka 4.

Boseman ambaye alicheza kama T’Challa kwenye filamu hiyo ya Black Panther, amefariki akiwa nyumbani kwake mjini Los Angeles huku akiwa amezungukwa na mkewe pamoja na familia yake.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *