TANZIA: Mgombea Ubunge Salim Abdullah Turky afariki dunia, on September 15, 2020 at 2:23 pm

September 15, 2020

Mgombea ubunge wa Jimbo la Mpendae kupitia Chama cha Mapinduzi -CCM, Salim Abdullah Turky amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Marehemu Turky amefariki katika Hospitali ya Tasakhta Global Kisiwani Unguja.Swala ya kuombea mwili wa marehemu inatarajiwa kufanyika leo alasiri katika msikiti wa Othman Maalim na kufuatiwa na mazishi yatakayofanyika Fumba visiwani humo.Marehemu Salim Turky alikuwa mfanyabiashara maarufu Zanzibar na mgombea ubunge wa Jimbo la Mpendae kwa tiketi ya CCM.,

Mgombea ubunge wa Jimbo la Mpendae kupitia Chama cha Mapinduzi -CCM, Salim Abdullah Turky amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.


Marehemu Turky amefariki katika Hospitali ya Tasakhta Global Kisiwani Unguja.

Swala ya kuombea mwili wa marehemu inatarajiwa kufanyika leo alasiri katika msikiti wa Othman Maalim na kufuatiwa na mazishi yatakayofanyika Fumba visiwani humo.

Marehemu Salim Turky alikuwa mfanyabiashara maarufu Zanzibar na mgombea ubunge wa Jimbo la Mpendae kwa tiketi ya CCM.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *