Tanzia: Jaji Bomani Afariki Dunia

September 11, 2020

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Ddar es Salaam.,

Jaji Mstaafu Mark Bomani ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Ddar es Salaam.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *