Tammy awaponza Sancho na Chilwell,

October 6, 2020

Wachezaji Tammy Abraham, Ben Chilwell na Jadon Sancho hawatokuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachocheza dhidi ya Wales Alhamisi hii.

Sababu ya kuvunja sheria za serikali kuepuka mikusanyiko kwa kuhudhuria Surprise Birthday aliyofanyiwa Tammy Abraham, FA wanaendelea na uchunguzi kufahamu zaidi wachezaji waliohudhuria.

Wachezaji hao wote wameomba radhi kwa kitendo hicho na kueleza kujutia na kukiri watajifunza kulingana na makosa.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *