TAKWIMU HAZIDANGANYI, Mwinyi ni Rais Zanzibar.

September 17, 2020

 HAZIDANGANYI, Mwinyi ni Rais Zanzibar.Kawaida Kura za CCM Pemba hazijawahi kuzidi 20,000 kati ya kura 125,000 zinazopigwa miaka ya 2010 na 2015, ila UMATI wa Wapemba uliojitokeza Gombani jana ni zaidi ya watu 60,000. Na mitaa yote ilikuwa ni Kijani, hii ndio kusema mwisho wa Maalim Seif umewadia na wapemba wamekuwa na Matumaini Mpya kwa Dkt Hussein Mwinyi. Ni wazi, ukweli usio na shaka yeyote kuwa kura za Dr Mwinyi Pemba ni zaidi ya 80,000 Mwaka huu. #YanayoNineemaTupu. #Ushindiwamapema#Mwinyi2020,

 HAZIDANGANYI, Mwinyi ni Rais Zanzibar.

Kawaida Kura za CCM Pemba hazijawahi kuzidi 20,000 kati ya kura 125,000 zinazopigwa miaka ya 2010 na 2015, ila UMATI wa Wapemba uliojitokeza Gombani jana ni zaidi ya watu 60,000. Na mitaa yote ilikuwa ni Kijani, hii ndio kusema mwisho wa Maalim Seif umewadia na wapemba wamekuwa na Matumaini Mpya kwa Dkt Hussein Mwinyi. Ni wazi, ukweli usio na shaka yeyote kuwa kura za Dr Mwinyi Pemba ni zaidi ya 80,000 Mwaka huu. 

#YanayoNineemaTupu. 

#Ushindiwamapema

#Mwinyi2020

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *