Stori ya Kutisha ya Foleni Ya Magari Iliyoganda Porini Kwa Muda Wa Miaka 70…

September 20, 2020

Kunakitu kuhusu sehemu ambazo zimetelekezwa miaka mingi iliyopita ambazo  wengine huita magofu, sehemu hizi mara nyingi hua zimetumika miaka ya nyuma na baadae kuachwa peke yake zikibakisha historia na kumbukumbu za watu waliopita, Kibaya ni kwamba sio kila sehemu inaachwa kwa mazuri, sehemu nyingine hushtua na kutisha kiasi kwamba hata kutembelea tu lazima roho yako isite.!Kutana na  Belgian Car forest.! Msitu ambao umeficha magari yaliyokua kwenye foleni na kutelekezwa yakiwa yamejipanga kama yapo barabarani.! VIDEO:,

Kunakitu kuhusu sehemu ambazo zimetelekezwa miaka mingi iliyopita ambazo  wengine huita magofu, sehemu hizi mara nyingi hua zimetumika miaka ya nyuma na baadae kuachwa peke yake zikibakisha historia na kumbukumbu za watu waliopita, Kibaya ni kwamba sio kila sehemu inaachwa kwa mazuri, sehemu nyingine hushtua na kutisha kiasi kwamba hata kutembelea tu lazima roho yako isite.!

Kutana na  Belgian Car forest.! Msitu ambao umeficha magari yaliyokua kwenye foleni na kutelekezwa yakiwa yamejipanga kama yapo barabarani.!

 VIDEO:
,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *