Steve Nyerere: Bora Alikiba kaona thamani ya Bongo movie, hiyo ndio maana ya kuwa King wa Bongo Fleva

October 16, 2020

Msanii wa Bongo movie @stevenyerere2 amempongeza msanii @officialalikiba baada ya kuwaombea bajeti kwa Rais Magufuli ya kutengenezwa Documentary ya Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere ambayo itaelezea maisha yake.

Akiongea na Bongo5 @stevenyerere2 amempongeza na kusema hiyo ndio maana ya kuitwa KING 👑 wa muziki wa Bongo Fleva. Pia ameongeza kuwa watu wengine walikuwa wanaupuuzia sana Bongo Movie lakini @officialalikiba ameonyesha kuwa hiyo tasnia ina umuhimu mkubwa.

Pia amewakanya wale wanaosema wasanii wengi kuipigia kampeni CCM kuwa njaa zinawasumbua amewajibu haya.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *