Spika apinga namna uundwaji wa baraza la mawaziri Lebaon, on September 13, 2020 at 6:00 pm

September 13, 2020

Spika wa bunge la Lebanon, Nabih Berri amesema kundi lake linapinga namna ambayo waziri mkuu mpya wa taifa hilo anavyounda baraza jipya la mawaziri na kwamba hawataunga mkono lakini watatoa ushirikiano ili kuleta utulivu nchini humo.Kupitia ofisi yake spika huyo ambae ni kiongozi wa kundi la Waislamu wa Madhehebu ya Shia, lenye ushirika na Hezbollah ameorodhosha ukosoaji wa namna Waziri Mkuu Mustapha Adib ameunda baraza, ikiwemo upungufu wa mashauriano. katika taarifa hiyo Berri amesema tatizo sio Ufaransa tatizo lipo ndani ya nchi.Berri pia amezungumza na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ambae amekuwa akishinikiza mabadiliko nchini Lebanon.,

Spika wa bunge la Lebanon, Nabih Berri amesema kundi lake linapinga namna ambayo waziri mkuu mpya wa taifa hilo anavyounda baraza jipya la mawaziri na kwamba hawataunga mkono lakini watatoa ushirikiano ili kuleta utulivu nchini humo.

Kupitia ofisi yake spika huyo ambae ni kiongozi wa kundi la Waislamu wa Madhehebu ya Shia, lenye ushirika na Hezbollah ameorodhosha ukosoaji wa namna Waziri Mkuu Mustapha Adib ameunda baraza, ikiwemo upungufu wa mashauriano. katika taarifa hiyo Berri amesema tatizo sio Ufaransa tatizo lipo ndani ya nchi.

Berri pia amezungumza na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ambae amekuwa akishinikiza mabadiliko nchini Lebanon.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *