Songwe: Watu 16 Wapandishwa Kizimbani Kwa Kusababisha Vurugu Zilizomuua Kada wa CCM, noreply@blogger.com (Udaku Special)

September 2, 2020

Watu 16 wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi kwa tuhuma za kumuua, Briton Mollel baada ya kutokea vurugu kati ya wafuasi wa CHADEMA na CCM baada ya mgombea kuenguliwaMollel ambaye ni Kada wa CCM aliuawa huku ikiripotiwa wengine 3 walijeruhiwa katika vurugu hizo. Wakili wa Serikali alidai kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa hilo Agosti 25, 2020 Kata ya Mwakakati, Mji wa Tunduma, Wilayani MombaPia, watuhumiwa hao wanakabiliwa na kosa la kuwajeruhi kwa mapanga Francis Simumba na Elisha Sifa kinyume na Kifungu cha 22(a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 ya Sheria za Tanzania,

Watu 16 wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi kwa tuhuma za kumuua, Briton Mollel baada ya kutokea vurugu kati ya wafuasi wa CHADEMA na CCM baada ya mgombea kuenguliwa

Mollel ambaye ni Kada wa CCM aliuawa huku ikiripotiwa wengine 3 walijeruhiwa katika vurugu hizo. Wakili wa Serikali alidai kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa hilo Agosti 25, 2020 Kata ya Mwakakati, Mji wa Tunduma, Wilayani Momba

Pia, watuhumiwa hao wanakabiliwa na kosa la kuwajeruhi kwa mapanga Francis Simumba na Elisha Sifa kinyume na Kifungu cha 22(a) cha kanuni ya adhabu sura ya 16 ya Sheria za Tanzania

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *