Shilole: Ndoa Siyo Jela

September 8, 2020

MWANAMUZIKI na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ikiwa ni miezi michache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, ndoa siyo jela, kama kitu ukishindwa, unaondoka tu.Akipiga stori na Risasi, Shilole amesema kuwa, ndoa nyingi zinapitia migogoro si kwake tu, hata mtu akishindwa anaenda tu.“Unajua mambo ambayo nimepitia si mimi tu, ni ndoa nyingi zinapitia haya mambo ya migogoro, hivyo usione kitu cha ajabu, kama ukiona mambo magumu, unaondoka tu maana ndoa siyo jela,’’ alisema Shilole.STORI: HAPPYNESS MASUNGA, RISASI,

MWANAMUZIKI na mjasiriamali Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ikiwa ni miezi michache baada ya kupitia mgogoro na mumewe Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, ndoa siyo jela, kama kitu ukishindwa, unaondoka tu.

Akipiga stori na Risasi, Shilole amesema kuwa, ndoa nyingi zinapitia migogoro si kwake tu, hata mtu akishindwa anaenda tu.

“Unajua mambo ambayo nimepitia si mimi tu, ni ndoa nyingi zinapitia haya mambo ya migogoro, hivyo usione kitu cha ajabu, kama ukiona mambo magumu, unaondoka tu maana ndoa siyo jela,’’ alisema Shilole.

STORI: HAPPYNESS MASUNGA, RISASI,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *