Serena Williams atolewa nusu fainal Us Open, on September 11, 2020 at 8:00 am

September 11, 2020

 Matumaini ya Serena Williams kutwaa taji lake la 24 la Grand Slam yamefutika baada ya kutupwa nje na Victoria Azarenka katika nusu fainali ya US Open.Williams alionekana bora katika seti ya kwanza lakini Azarenka alipindua matoke na kushinda kwa seti 1-6,6-3,6-3.Azarenka atacheza fainali ya michuano ya US Open dhidi ya Naomi Osaka ambaye alimshinda Jennifer Brady kwa seti 7-6 (7-1) 3-6 6-3.Ikumbukwe Naomi Osaka alishinda taji la US Open mwaka 2018,atacheza na Azarenka ambaye ni kinara wa zamani katika viwango vya ubora duniani .,

 Matumaini ya Serena Williams kutwaa taji lake la 24 la Grand Slam yamefutika baada ya kutupwa nje na Victoria Azarenka katika nusu fainali ya US Open.

Williams alionekana bora katika seti ya kwanza lakini Azarenka alipindua matoke na kushinda kwa seti 1-6,6-3,6-3.

Azarenka atacheza fainali ya michuano ya US Open dhidi ya Naomi Osaka ambaye alimshinda Jennifer Brady kwa seti 7-6 (7-1) 3-6 6-3.

Ikumbukwe Naomi Osaka alishinda taji la US Open mwaka 2018,atacheza na Azarenka ambaye ni kinara wa zamani katika viwango vya ubora duniani .

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *