Saudia yafungua anga lake kwa safari za ndege kati ya Falme za Kiarabu na Israel, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 3, 2020 at 10:00 am

September 3, 2020

Anga la Saudia  inatarajiwa kuanza kutumiwa  na ndege zinazosafiri kati ya Israel na Falme   za kiarabu.Hatua hiyo ni baada ya  maamuzi  yaliochukuliwa  kati ya Israel na Falme za Kiarabu kurejea katika ushirikiano.Uamuzi huo  umechukuliwa   ilia kurahisisha  safari za ndege kati ya Israel na Falme za kiarabu.Safari ya kwanza ya ndege kati ya Israel na Famle za Kiarabu imefanyika  siku mbili zilizopita.Viongozi wa Israel na Marekani  walikwenda Tel Aviv na Abu Dhabi kwa kupitia  anga la Saudia.Baada ya taarifa iliotolewa  na Saudia, waziri  mkuu  Benjamin Netanyahu amefahamisha kuwa safari za ndege kati ya Israel na Falme za kiarabu zitaanza.,

Anga la Saudia  inatarajiwa kuanza kutumiwa  na ndege zinazosafiri kati ya Israel na Falme   za kiarabu.

Hatua hiyo ni baada ya  maamuzi  yaliochukuliwa  kati ya Israel na Falme za Kiarabu kurejea katika ushirikiano.

Uamuzi huo  umechukuliwa   ilia kurahisisha  safari za ndege kati ya Israel na Falme za kiarabu.

Safari ya kwanza ya ndege kati ya Israel na Famle za Kiarabu imefanyika  siku mbili zilizopita.

Viongozi wa Israel na Marekani  walikwenda Tel Aviv na Abu Dhabi kwa kupitia  anga la Saudia.

Baada ya taarifa iliotolewa  na Saudia, waziri  mkuu  Benjamin Netanyahu amefahamisha kuwa safari za ndege kati ya Israel na Falme za kiarabu zitaanza.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *