Saed Kubenea Aachiwa Kwa Dhamana, on September 11, 2020 at 10:24 am

September 11, 2020

 Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuachiwa kwa dhamana.Kesi inayomkabili itatajwa tena Sepetemba 21 mwaka huu. Kubenea anatuhumiwa kuingiza fedha za kigeni bila kutoa tamko na kuingia nchini kinyume cha sheria ya uhamiaji.,

 Aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kuachiwa kwa dhamana.Kesi inayomkabili itatajwa tena Sepetemba 21 mwaka huu.

Kubenea anatuhumiwa kuingiza fedha za kigeni bila kutoa tamko na kuingia nchini kinyume cha sheria ya uhamiaji.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *