Ruwaida Saleh: ‘Water girl’ aliyepigwa risasi akiitekea maji familia yake

September 9, 2020

Picha za kushangaza zinazomuonesha mtoto wa miaka 6 Ruwaida Saleh akiwa amelala barabarani baada ya kupigwa risasi kichwani na mlengaji shabaha wa kuvizia akiwa anaitekea maji familia yake zimezua hisia tofauti na shutuma kutoka katika mitandao ya kijamii.

Source link

,Picha za kushangaza zinazomuonesha mtoto wa miaka 6 Ruwaida Saleh akiwa amelala barabarani baada ya kupigwa risasi kichwani na mlengaji…

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *