Ruto: Wakenya hawatapigana tena sababu ya siasa, wajinga wameisha, on September 11, 2020 at 6:00 am

September 11, 2020

 Naibu Rais wa Kenya, William Ruto amesema Kenya haitashuhudia tena machafuko kwasababu ya Siasa kama ilivyokuwa mwaka 2007Akihutubia mkutano wa hadhara Mjini Kisii, Ruto amesema baadhi ya wanasiasa walikuwa wakitumia vitisho kudai huenda kukazuka machafuko mwaka 2022Ameongeza kuwa “Wakenya hawatapigana kwa sababu ya Uchaguzi, wajinga hawapo tena. Nchi hii itakuwa na amani na mjue hakuna atakayeshurutishwa kufanya jambo kinyume na hiari yake”Ruto ameyasema hayo siku mbili tu baada ya Kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwataka Watendaji wa Naibu Rais kutolipeleka Taifa kwenye enzi za giza na machafuko,

 

Naibu Rais wa Kenya, William Ruto amesema Kenya haitashuhudia tena machafuko kwasababu ya Siasa kama ilivyokuwa mwaka 2007

Akihutubia mkutano wa hadhara Mjini Kisii, Ruto amesema baadhi ya wanasiasa walikuwa wakitumia vitisho kudai huenda kukazuka machafuko mwaka 2022

Ameongeza kuwa “Wakenya hawatapigana kwa sababu ya Uchaguzi, wajinga hawapo tena. Nchi hii itakuwa na amani na mjue hakuna atakayeshurutishwa kufanya jambo kinyume na hiari yake”

Ruto ameyasema hayo siku mbili tu baada ya Kiongozi wa ODM, Raila Odinga kuwataka Watendaji wa Naibu Rais kutolipeleka Taifa kwenye enzi za giza na machafuko

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *