Roy Keane: Wachezaji Watamfukuzisha Kazi Ole Man U

October 11, 2020

ROY Keane amewajua juu wachezaji wa Manchester United kwa kusema kuwa kucheza kwao hovyo na kufungwa mabao 6-1 na Tottenham kunaweza kuchangia kocha wao kufukuzwa kazi.

Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer yupo katika presha kubwa kutokana na kiwango kibovu cha timu yake hivi karibuni Keane anasema:

“Kiwango dhidi ya Spurs kilikuwa kibovu, wote huwa tuna siku mbaya lakini kuna baadhi ya wachezaji walikuwa hovyo kabisa.”Mwisho wake nadhani wataigharimu kazi ya Ole.

 

Wachezaji aumia, shakanikuikosa CityRoy Keane:watamuangusha.”Wachezaji alionao walimfukuzisha kazi kocha aliyepita [Jose Mourinho] ndichowakatakachokifanya kwa Ole,” alisema Keane.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *