Rosa Ree anaamini hustle zake ndizo zimemfikisha hapa alipo Kupanda Jukwaa Moja na REMA Kutoka Nigeria Keshi

October 2, 2020

Rosa Ree anaamini hustle zake ndizo zimemfikisha hapa alipo leo, mapambano yake kwenye kuupambania muziki wake ndio yamebeba matokeo ya leo hii kutajwa kama female rapper pekee atakaye kiwasha jukwaa moja na @heisrema kutoka Nigeria kesho pale Elements Masaki. “Huwezi kuiongopea hustle yako, huwezi kupata kikubwa zaidi ya ulichokipambania” -: @Rosa_Ree.

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *