Roma aumizwa na ongezeko la show za wasanii wa Nigeria nchini,

October 8, 2020

 

Rapper Ibrahim Mussa a.k.a Roma Mkatoliki Roma_zimbabwe ameshindwa kuzuia hisia zake kutokana na wingi wa wasanii kutoka Nigeria kuja kupiga show nchini Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Roma amesema ujio huo ni mbaya kwenye tasnia yetu kwani unaumiza wasanii wa ndani ambao amekiri kuwa wanauwezo mkubwa kuliko hata hao Wanaijeria.

Akiendelea kutoa hoja, #Roma amesema ukitoa lugha wanayotumia ya Kiingereza haoni chochote kile wanachokiimba ambacho hakifanywi na wasanii wetu hapa Bongo.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *