Rihanna ameomba msamaha kwa kutumia wimbo ulio na utata kwenye maonyesho yake

October 7, 2020

Rihanna ameomba msamaha baada ya kutumia wimbo wenye utata katika onyesho lake la hivi karibuni la mitindo la Savage X Fenty. Amekashifiwa vikali kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia wimbo ulio una mashahiri ya Kiislamu inayojulikana kama Hadith. Rihanna anasema matumizi ya wimbo huo ni makossa aliyofanya kwani”hakuwajibika ipasavyo.

Source link

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *