Rais wa Uturuki azungumza na katibu mshauri wa Umoja wa Ulaya, on September 7, 2020 at 6:00 am

September 7, 2020

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza  kwa njia ya simu na katibu mshauri wa Umoja wa Ulaya Charles Michel.Tarrifa zilizotolewa na kitemgo kinachohusika na mawaislinao ikulu ya rais mjini Ankara  zimefahamisha kuwa  viongozi hao wamejadili inayoendelea katika ukanda wa Mediterania Mshariki.Katika mazungumzo yao  rais Erdoğan   na Charles Michel  wamezungumza pia kuhusu ushirkiano kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya.Rais Erdoğan ameendelea akisema kwamba  matamshi ya baadhi ya wanasiasa wa  Ulaya  kuhusu   hali iliopo katika ukanda wa Mediterania Mashariki ni ishara tosha  kwa Umoja wa Ulaya kutambua  na kufahamu kiwango cha  haki na mshikamano  katika ukanda mzima.Rais wa Uturuki amemalizia akitoa wito  kwa mataifa wanachama wa Umoa wa Ulaya kuwa katika usawa kunako mzozo wa Mediterania na  kutafuta suluhisho lililo la haki kwa pande zote zinazovutana. ,

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza  kwa njia ya simu na katibu mshauri wa Umoja wa Ulaya Charles Michel.

Tarrifa zilizotolewa na kitemgo kinachohusika na mawaislinao ikulu ya rais mjini Ankara  zimefahamisha kuwa  viongozi hao wamejadili inayoendelea katika ukanda wa Mediterania Mshariki.

Katika mazungumzo yao  rais Erdoğan   na Charles Michel  wamezungumza pia kuhusu ushirkiano kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya.

Rais Erdoğan ameendelea akisema kwamba  matamshi ya baadhi ya wanasiasa wa  Ulaya  kuhusu   hali iliopo katika ukanda wa Mediterania Mashariki ni ishara tosha  kwa Umoja wa Ulaya kutambua  na kufahamu kiwango cha  haki na mshikamano  katika ukanda mzima.

Rais wa Uturuki amemalizia akitoa wito  kwa mataifa wanachama wa Umoa wa Ulaya kuwa katika usawa kunako mzozo wa Mediterania na  kutafuta suluhisho lililo la haki kwa pande zote zinazovutana.

 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *