Rais wa Mali aliyeng’atuliwa madarakani ‘alazwa hospitali’, noreply@blogger.com (Muungwana Blog 3), on September 2, 2020 at 8:00 am

September 2, 2020

Rais Ibrahim Boubacar Keïta alizuiliwa na wanajeshi kwa siku 10Image caption: Rais Ibrahim Boubacar Keïta alizuiliwa na wanajeshi kwa siku 10Rais wa Mali aliyeng’olewa madarakani kupitia mapinduzi ya kijeshi Ibrahim Boubacar Keïta amelazwa katika hospitali moja mji mkuu wa Bamako, kwa mujibu wa Shirika la habari la Associated Press.Lilinukuu vyanzo katika viwili kliniki ambako kiongozi huyo wa zamani anaripotiwa kutibiwa.Mwanasiasa huyo wa miaka 75 alizuiliwa kwa siku kumi na wanajeshi kabla atangaze kujiuzulu na baaadae kuachiliwa huru..Wakati wa mazungumzo ya kutafuta mwafaka wa mzozo wa kisiasa nchini Mali Bwana Keita alinukuliwa kusema kuwa hana haja ya mamlaka ya urais.Kwa miezi kadhaa upinzani ulikuwa ukimshinikiza kujiuzulu na kumlaumu kwa kurudisha nyuma uchumi wa nchi, kudhibiti ufisadi na kushindwa kukabiliana na makundi ya kijihadi.,

Rais Ibrahim Boubacar Keïta alizuiliwa na wanajeshi kwa siku 10Image caption: Rais Ibrahim Boubacar Keïta alizuiliwa na wanajeshi kwa siku 10

Rais wa Mali aliyeng’olewa madarakani kupitia mapinduzi ya kijeshi Ibrahim Boubacar Keïta amelazwa katika hospitali moja mji mkuu wa Bamako, kwa mujibu wa Shirika la habari la Associated Press.

Lilinukuu vyanzo katika viwili kliniki ambako kiongozi huyo wa zamani anaripotiwa kutibiwa.

Mwanasiasa huyo wa miaka 75 alizuiliwa kwa siku kumi na wanajeshi kabla atangaze kujiuzulu na baaadae kuachiliwa huru..

Wakati wa mazungumzo ya kutafuta mwafaka wa mzozo wa kisiasa nchini Mali Bwana Keita alinukuliwa kusema kuwa hana haja ya mamlaka ya urais.

Kwa miezi kadhaa upinzani ulikuwa ukimshinikiza kujiuzulu na kumlaumu kwa kurudisha nyuma uchumi wa nchi, kudhibiti ufisadi na kushindwa kukabiliana na makundi ya kijihadi.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *