Rais Ndayishimiye amekuja kwa mazungumzo ya Kiserikali- JPM, on September 19, 2020 at 8:52 am

September 19, 2020

 Leo ni siku muhimu sana hapa Kigoma lakini Tanzania kwa ujumla tumempata Rafiki yetu Ndayishimiye ambaye kwa mara ya kwanza tangu aapishwe kuwa Rais wa Burundi ameamua Tanzania iwe Nchi ya kwanza kuitembelea, Asante sana Rais na karibu Tanzania” Rais MAGUFULI“Rais Ndayishimiye amekuja kwa mazungumzo ya Kiserikali na ndio maana baada ya kukaribishwa tulitakiwa tuondoke twende kwenye mazungumzo na kabla ya hapo tulitakiwa twende kwenye shughuli ya kufungua Mahakama, tutakayokubaliana tutayatoa baadaye,

 

Leo ni siku muhimu sana hapa Kigoma lakini Tanzania kwa ujumla tumempata Rafiki yetu Ndayishimiye ambaye kwa mara ya kwanza tangu aapishwe kuwa Rais wa Burundi ameamua Tanzania iwe Nchi ya kwanza kuitembelea, Asante sana Rais na karibu Tanzania” Rais MAGUFULI

“Rais Ndayishimiye amekuja kwa mazungumzo ya Kiserikali na ndio maana baada ya kukaribishwa tulitakiwa tuondoke twende kwenye mazungumzo na kabla ya hapo tulitakiwa twende kwenye shughuli ya kufungua Mahakama, tutakayokubaliana tutayatoa baadaye

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *