Rais Magufuli ‘Tangu Nimekuwa Rais Nimetembelea Nchi 8 tu na Zote za Afrika’, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Leo Katika Uzinduzi Wa Kampeni Wa Chama Cha Mapindizi Dodoma“Tangu nimekuwa Rais nimetembelea Nchi 8 tu na zote za Afrika, najua wapo wanaosema mimi kutosafiri kumepunguza mahusiano yetu ya Kidiplomasia na Mataifa mengine hii sio kweli, bali tumeyaimarisha, tumefungua Balozi 8 Nje na Mataifa mawili yamefungua Balozi zao hapa nchini” Rais MAGUFULI“Kazi tulizozifanya ndizo zimetufanya tuje kuomba tena ridhaa ili tuziendeleze zisije kukwama, tumenunua Ndege mpya 11, nane zimefika na tatu zinatengenezwa, katika Ilani mpya ya Uchaguzi tutanunua Ndege nyingine 5 mpya ndani ya miaka 5 ikiwemo ya mizigo” Rais MAGUFULI,

Leo Katika Uzinduzi Wa Kampeni Wa Chama Cha Mapindizi Dodoma

“Tangu nimekuwa Rais nimetembelea Nchi 8 tu na zote za Afrika, najua wapo wanaosema mimi kutosafiri kumepunguza mahusiano yetu ya Kidiplomasia na Mataifa mengine hii sio kweli, bali tumeyaimarisha, tumefungua Balozi 8 Nje na Mataifa mawili yamefungua Balozi zao hapa nchini” Rais MAGUFULI

“Kazi tulizozifanya ndizo zimetufanya tuje kuomba tena ridhaa ili tuziendeleze zisije kukwama, tumenunua Ndege mpya 11, nane zimefika na tatu zinatengenezwa, katika Ilani mpya ya Uchaguzi tutanunua Ndege nyingine 5 mpya ndani ya miaka 5 ikiwemo ya mizigo” Rais MAGUFULI,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *