Rais Magufuli ‘Mwinyi ni Kiongozi Mzuri Hana Jazba Amesimamia Mizinga na Mabomu Hajawahi Amrisha Vipige Watu’, noreply@blogger.com (Udaku Special)

August 29, 2020

Leo Katika Uzinduzi Wa Kampeni Wa Chama Cha Mapindizi Dodoma“Mwinyi amekuwa Waziri wa Ulinzi kwa miaka 10, amesimamia mizinga, mabomu, vifaru ila hajawahi kuamrisha hata siku moja vikapige Watu, ni Kiongozi mzuri hana jaziba, ndio maana nawaomba Zanzibar mpeni kura zenu, nipeni na mimi kura, msije kusema tumeshinda bila kupiga kura” Rais MAGUFULI,

Leo Katika Uzinduzi Wa Kampeni Wa Chama Cha Mapindizi Dodoma

“Mwinyi amekuwa Waziri wa Ulinzi kwa miaka 10, amesimamia mizinga, mabomu, vifaru ila hajawahi kuamrisha hata siku moja vikapige Watu, ni Kiongozi mzuri hana jaziba, ndio maana nawaomba Zanzibar mpeni kura zenu, nipeni na mimi kura, msije kusema tumeshinda bila kupiga kura” Rais MAGUFULI,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *