Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

October 6, 2020

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Maguful  ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.


 

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *