Rais Magufuli Ampokea Rais Wa Uganda Mh.yoweri Kaguta Museveni Chato Mkoani Geita, on September 13, 2020 at 10:21 am

September 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kwasili kwenye uwanja wandege wa  Chato mkoani Geita leo Jumapili 3, Septemba 2020 kwa ajili ya kushuhudia utiaji saini ambapo Mawaziri wa Nishati wa Uganda na Tanzania wametia saini Mkataba wa utekelezaji wa baadhi ya vipengele katika Maradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania.,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk John Pombe Magufuli akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kwasili kwenye uwanja wandege wa  Chato mkoani Geita leo Jumapili 3, Septemba 2020 kwa ajili ya kushuhudia utiaji saini ambapo Mawaziri wa Nishati wa Uganda na Tanzania wametia saini Mkataba wa utekelezaji wa baadhi ya vipengele katika Maradi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania.

,

Article Categories:
Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *